Inauzwa Dar
Mtaasisi Premium Travel & Laptop Backpack

Mtaasisi Premium Travel & Laptop Backpack

Bag premium yenye ubora wa juu, water resistant, sehemu salama ya laptop, mifuko 6 ya kupanga vitu, sehemu ya power bank na sehemu ya kufungia AirTag/Finder. Unafaa kwa safari, shule, chuo, ofisi na matumizi ya kila siku.

Brand: Mtaasisi

SKU: MTAPRETRALAP

Category: Bag

Tsh 85,000.0

Delivery bure Dar es Salaam · TSh 20,000 mikoa mingine (tunathibitisha kabla ya kutuma)

Tunatoa risiti ya EFD

Sold by: Inauzwa Limited. This product is sold by Inauzwa Limited on this website.

Return policy.

Fundi simu na laptop

Delivery

Available in Dar.

Delivery bure Dar es Salaam · TSh 20,000 mikoa mingine (tunathibitisha kabla ya kutuma)

Availability: Ipo stock

Condition: New

Bag premium yenye ubora wa juu, water resistant, sehemu salama ya laptop, mifuko 6 ya kupanga vitu, sehemu ya power bank na sehemu ya kufungia AirTag/Finder. Unafaa kwa safari, shule, chuo, ofisi na matumizi ya kila siku.

Mtaasisi Premium Travel & Laptop Backpack umetengenezwa kwa watu wanaohitaji mkoba mmoja unaoweza kutumika kila mahali. Muundo wake wa kisasa, vifaa vya ubora wa juu na uimara wake vinaifanya kuwa chaguo bora kwa wanafunzi, wafanyakazi, wafanyabiashara na wasafiri.

Mkoba huu una sehemu maalumu yenye padding ya kulinda laptop dhidi ya mitikisiko na mikwaruzo. Pia una mifuko sita ya kupanga vifaa kama chaja, simu, power bank, nyaraka, kalamu, mouse na vifaa vingine bila kuchanganyika.

Kitambaa chake ni Water Resistant, hivyo hulinda vifaa vyako dhidi ya mvua nyepesi na maji yanayomwagika. Pia umeongezewa sehemu maalumu ya kushikilia AirTag/Finder ili iwe rahisi kufuatilia mkoba endapo utapotea.

Kwa matumizi ya muda mrefu, mkoba huu umetengenezwa kwa nyenzo imara zenye uwezo wa kuhimili matumizi ya kila siku na unakuja na Warranty ya Mwaka Mmoja.

Color
Black Camo
Airtag / finder holder
Yes
Back padding
Breathable Comfort Padding
Carry handle
Reinforced
College use
Yes
Daily use
Yes
Front quick access pocket
Yes
Hidden pocket
Yes
Laptop protection
Thick Padded Compartment
Laptop size support
Hadi 15.6” Laptop
Main compartments
2
Material
Premium Water Resistant Fabric

Upatikanaji kwa branch

  • Dar: Ipo stock

Maswali yanayoulizwa mara kwa mara

Je, bidhaa hii ni mpya?

Ndiyo, ni bidhaa mpya.

Delivery inagharimu kiasi gani?

Delivery ni bure Dar es Salaam na TSh 20,000 mikoani. Unapata risiti ya EFD.