iPhone 16 Charging Port Flex Cable
Charging port flex ya iPhone 16 kwa matatizo ya kuchaji, cable kutokaa vizuri au USB connection kutofanya kazi.
Brand: Apple
Model: iPhone 16 OEM CHARGING PORT
SKU: RA-IPHONE16-CHARGI
Category: iPhone Parts
Tsh 70,000.0
Delivery bure Dar es Salaam · TSh 20,000 mikoa mingine (tunathibitisha kabla ya kutuma)
Tunatoa risiti ya EFD
Sold by: Inauzwa Limited. This product is sold by Inauzwa Limited on this website.
Delivery
Available in Dar.
Delivery bure Dar es Salaam · TSh 20,000 mikoa mingine (tunathibitisha kabla ya kutuma)
Availability: Ipo stock
Condition: New
Charging port flex ya iPhone 16 kwa matatizo ya kuchaji, cable kutokaa vizuri au USB connection kutofanya kazi.
Charging Port Flex Cable ya iPhone 16 ni replacement part kwa simu yenye port iliyoharibika, kuchaji kwa kusuasua au kushindwa ku-connect na computer. Flex hii ni model-specific na inaweza kutofautiana kwa color au regional version. Installation na testing vifanywe na fundi kabla ya kuifunga simu kabisa.
- Compatible brand
- Apple
- Compatible model
- iPhone 16
Upatikanaji kwa branch
- Dar: Ipo stock