Hisense HS1800 2.1CH 140W Soundbar
Hisense HS1800 ni 2.1 Channel soundbar yenye total output ya 140W na wireless subwoofer. Inatoa sound iliyo clear pamoja na bass nzuri kwa movies, music, gaming na matumizi ya TV.
Brand: Hisense
Model: HS1800
SKU: HIS-HS1800-140W
MPN: HS1800
Category: Soundbars
Tsh 265,000.0
Delivery bure Dar es Salaam · TSh 20,000 mikoa mingine (tunathibitisha kabla ya kutuma)
Tunatoa risiti ya EFD
Sold by: Inauzwa Limited. This product is sold by Inauzwa Limited on this website.
Delivery
Available in Dar.
Delivery bure Dar es Salaam · TSh 20,000 mikoa mingine (tunathibitisha kabla ya kutuma)
Availability: Ipo stock
Condition: New
Warranty: 1 year
Hisense HS1800 ni 2.1 Channel soundbar yenye total output ya 140W na wireless subwoofer. Inatoa sound iliyo clear pamoja na bass nzuri kwa movies, music, gaming na matumizi ya TV.
Hisense HS1800 ni 140W 2.1 Channel soundbar system iliyotengenezwa kuboresha sound ya TV kwa sauti iliyo clear na bass yenye nguvu zaidi.
Inakuja na soundbar pamoja na wireless subwoofer kwa experience nzuri wakati wa kuangalia movies, kusikiliza music au kucheza games. Ina Bluetooth kwa ku-connect simu au devices nyingine bila waya, pamoja na HDMI ARC kwa connection rahisi na TV.
- Color
- Black
- Audiochannels
- 2.1 Channel
- Auxinput
- Yes
- Bluetooth
- Yes
- Hdmiarc
- Yes
- Model number
- HS1800
- Opticalinput
- Yes
- Recommendeduse
- TV / Movies / Music / Gaming
- Subwoofer
- Wireless Subwoofer
- Totaloutputpower
- 140W
- Usb
- Yes
Upatikanaji kwa branch
- Dar: Ipo stock